Habari za Punde

ZAINA FOUNDATION YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE

Mkurugenzi wa  Taasisi ya Zaina Foundation Zaituni Njovu  akiwasilisha mada ya ukatili wa wanawake mtandaoni , wakati akitoa  mafunzo ya kuwajengea uwelewa  waandishi wa habari wanawake juu ya usalama mtandaoni ,huko Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
Meneja wa Programu katika Taasisi ya Zaina Foundation, Farida  akiwaelekeza washiriki wa mafunzo ya usalama mtandaoni baadhi ya programu zitakazowasaidia kuwaweka salama wakati wa  matumizi ya mtandao ,huko Verde Mtoni Zanzibar.
Mkurugenzi wa  Taasisi ya Zaina Foundation Zaituni Njovu  akiwasilisha mada ya ukatili wa wanawake mtandaoni , wakati akitoa  mafunzo ya kuwajengea uwelewa  waandishi wa habari wanawake juu ya usalama mtandaoni ,huko Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.