Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidho Pikipiki (Bodaboda) mmoja wa Vijana Wajasiriamali wanaojishughulisha na biashara ya Bodaboda Unguja, Pikipiki hizo zimetolewa na Benki ya NMB kwa mkopo nafuu kwa Wajasiriamali, katika hafla hiyo zikabidhiwa Bodaboda na Bajaj.
Hii ni baada ya uzinduzi wa Go na NMB kwa ajili ya kuwasaidia Vijana kujiajiri.
Benki ya NMB imetowa Pikipiki (Bodaboda) na Bajaj kwa dhamana ya masharti nafuu kwa Vijana kwa lengo la kukuza Uchumi kwa Jamii na kujiongozea kipato chao.
No comments:
Post a Comment