Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Singapore Nchini Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mhe. Douglas Foo, Mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mhe.Douglas Foo mara baada ya Mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Tarehe 30 Agosti 2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.