Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya
kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha
ya pamoja na Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya
mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred
Mwesigye katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara
baada ya kupokea Hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara
baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe.
Charlotta Ozaki Macias katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta
Ozaki Macias mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho katika hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki
Macias mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini Mhe. Isaack Njenga
Gatitu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini Mhe. Isaac Njenga Gatitu mara
baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Balozi Mteule wa Kenya hapa nchini Mhe. Isaac Njenga Gatitu mara
baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment