Habari za Punde

Ziara ya Rais Hichilema wa Zambia Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpatia maelezo kuhusu picha na vitabu vya Kiswahili mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema na baadae kukabidhi zawadi hizo katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema aliyekuwa akimuelezea kuhusu zawadi ya picha aliyompatia Mhe. Rais Samia katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema aliyekuwa akimuelezea kuhusu zawadi ya picha aliyompatia Mhe. Rais Samia katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpatia maelezo kuhusu picha na vitabu vya Kiswahili mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema na baadae kukabidhi zawadi hizo katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akizungumza na Wanahabari katika ziara yake ya siku moja Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.