Habari za Punde

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI SINGIDA 5.8.2022

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungu, akiwa kwenye ziara ya siku moja mkoani SingidaAgosti 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungu, akiwa kwenye ziara ya siku moja mkoani Singida
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungu, akiwa kwenye ziara ya siku moja mkoani SingidaAgosti 5, 2022. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Justice Kijazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.