Habari za Punde

Michuano ya Ligi Kuu Daraja la Kwanza Unguja Kati ya Raskazone na Jangombe Boys Timu ya Raskazone Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 1-0

Beki wa Timu ya Jangombe Boys akijaribu kumzuiya mchezaji wa Timu ya Raskazone  mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar Timu ya Raskazone imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.