Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Mhe.Kim Sun Pyo mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam,Oktoba 10, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment