Habari za Punde

Hoteli ya Cape Town Fishmarket yatoa Tunzo ua kuwatia morali vijana kujiajiri

Mwandishi mwandamizi Ali Sultan akionyehwa picha na mmoja kati ya vijana aliyeshiriki katika mashindano ya upigaji picha yaliyofanyika katika Hoteli Cape Town Fishmarket Mjini Zanzibar. 

Meneja wa  Cape Town Fishmarket  Lewis Chadamoyo  akitowa maelezo mafupi kwa washiriki wa mashindano ya  upigaji picha waliyofika katika  Hoteli hiyo na kupatiwa tunzo kwa lengo la kuwanyanyuwa vijana hayo na kujiajiri huko Hoteli Capitali Town Fishmarket Mjini Zanzibar.
Mmoja kati ya Vijana aliyeshiriki katika mashindano ya upigaji picha  Dhrov Ajay Chauhan akifurahi wakati  alipokabidhiwa zawadi ya cheti na pesa taslim mara baada ya kushinda mashindano ya upigaji picha yaliyofanyika katika Hoteli Cape Town Fishmarket Mjini Zanzibar. 

Mmoja kati ya waliyoshiriki katika mashindano ya upigaji picha Hamad Ahmed Salum kutoka Pemba akiwapatia maelezo waandishi wa Habari mara baada ya kukabidhiwa Cheti na Pesa taslim katika mashindano ya upigaji picha yaliyofanyika Hoteli ya Cape Town Fishmarket mjini Zanzibar.

 

Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.