Habari za Punde

Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa skafu katika mapokezi mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana  na Mama Siti Mwinyi pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  leo wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022 (kulia) Mke wa rais wa zanzibar Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana  na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  leo wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiangalia Vikundi vya Burudani wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  leo wakati alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wananchi na Viongozi wa CCM wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  leo wakati alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdaala Juma sadala (Mabodi) katika Ukumbi wa Viongozi (VIP)wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  leo, alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki wakati wa mapokezi katika barabara ya kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui  leo, alipowasili  kutokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejiapanga pembezoni katika barabara ya Kilimani wakimpokea  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar   Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitokea  Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.   
Wananchama wa CCM Jimbo la Magomeni wakiwa katika mapokezi katika barabara ya Kutoka Kilimani kuelekea Kariakoo Jijini Zanzibar wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  pia ni Rais wa Zanzibar   Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitokea  Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.  
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki katika maeneo ya Kilimani  Jijini Zanzibar leo wakati wa mapokezi akitokea  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui  kuwashukuru wanachama na Viongozi akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.

Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu  wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022.[Picha na Ikulu] 11/12/2022.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022 (kushoto)Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu  wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein .[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu  wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) mara baada ya kutia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua  kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa  tr 8-12 -2022 (kushoto) .[Picha na Ikulu] 11/12/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.