Habari za Punde

Mama Samia apiga kura kuchagua Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Tanzania Bara


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Tanzania Bara katika Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.