Habari za Punde

Pemba Press Club Yafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka

Viongozi wa klabu ya waandishi wa habari Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa klabu hiyo, ni baada ya kumaliza Mkutano Mkuu wa mwaka wa klabu hiyo katika kujadili mambo mbali mbali ikiwemo muelekeo wa kabla hiyo pamoja maazimio kumi kutoka Mkutano mkuu wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa habari Tanzania (UTPC) uliyofanyika December 24. 2022 katika Ukumbi wa maktaba Chake Chake Pemba. Picha Na, Hassan Msellem-Idawaonline.com Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.