Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Rwanda hapa nchini ambaye anamaliza muda wake Meja Jenerali Charles Karamba mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda hapa nchini ambaye anamaliza muda wake Meja Jenerali Charles Karamba mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2023.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment