Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Bububu Kihinani katika Ibada ya Sala ya Ijumaa leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid As’Silm  Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja alipowasali kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa leo 14-4-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Imamu Mkuu wa Masjid As’Silm Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Sheikh. Khamis Shaban, akitowa maelezo kuhusiana na Msikiti huo na miradi yake inayouendesha msikiti huo, alipowasili kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa leo 14-4-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala Ijumaa iliyofanyika katika Masjid As’Silm Bububu Kihinani leo 14-4-2023.
WANANCHI wa Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid As’Silm Bububu Kihinani leo 14-4-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuia na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi , baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid As’Silm Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 14-4-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto wa Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid As’Silm Bububu Kihinani leo 14-4-2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.