Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya East Africa Commercial and Logistics Centre (EACLC), Dkt. Cathy Wang (kulia) kuhusu ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa na kampuni ya East Africa Commercial and Logistics Centre eneo la Ubungo jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kukagua ujenzi wa Mradi wa kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa na kampuni ya East Africa Commercial and Logistics Center eneo la Ubungo jijini Dar es salaam Aprili 20, 2023. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki. Na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Abbas Mtemvu
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment