Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya
pamoja na Waziri Mkuu wa Burundi Mheshimiwa Gervais Ndirakobuca mara baada ya
mazungumzo yao yaliofanyika kando ya Mkutano
wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mpango wa Amani,
Usalama na Ushirikiano kwaajili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ukanda
wa Maziwa Makuu uliofanyika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi
No comments:
Post a Comment