Habari za Punde

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Nchini Ikulu Chamwino mkoani Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Leila Edith Mgonya kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Amour Said Khamis kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Benhajj Shaaban Masoud kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Gerson John Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Agnes Zephania Mgeyekwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya, Mhe. Jaji Amour Said Khamis,  Mhe. Jaji Dkt. Benhajj Shaaban Masoud, Mhe. Jaji Gerson John. Mdemu, Mhe. Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey Teemba, wakiapa Kiapo cha Maadili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji sita wa Mahakama ya Rufani na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Nchini kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule,  wakiwa katika Picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani nchini  Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya, Mhe. Jaji Amour Said Khamis,  Mhe. Jaji Dkt. Benhajj Shaaban Masoud, Mhe. Jaji Gerson John. Mdemu, Mhe. Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey Teemba, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka na Kamishna wa Maadili Jaji Mhe. Sivangilwa Mwangesi, mara baada ya kuwaapisha Majaji hao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Mei, 2023.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.