Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Picha na Ikulu.

 

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.