Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameondoka Nchini Kuelekea Nchini Qatar Kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi Linalofanyika Doha

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  wakisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  wakisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utrumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.