Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ahutubia Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kupokea Maandamano ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi,  yaliyofanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo1-5-2023 na (kulia kwa kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Wafanyakazi Kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliyofanyika katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Wafanyakazi Kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliyofanyika katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Wafanyakazi Kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliyofanyika katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023.
WAFANYAKAZI wa PSSSF wakiwa katika Maandamano ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
WAFANYAKAZI wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakiwa katika Maandamano ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
WAFANYAKAZI wa TTCL wakiwa katika Maandamano ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
WAFANYAKAZI wa ZAA wakiwa katika Maandamano ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati pichani) pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika  Kilele cha  Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023,sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatila igizo la mchezo wenye maudhui ya Siku ya Wafanyakati Duniani Mei Mosi, wakati Kikundi cha Msanii Kirobo wakitowa burudani wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, zilizofanyika katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soranga na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa ZATUC Bi. Mwanamkuu Gharib Mgeni
WASANII wa Kikundi cha Kirobo wakitowa burudani wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, zilizofanyika katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Msanii wa Kikundi cha Kirobo, Ndg.Raudha Kirobo Yussuf ,baada ya kumaliza kutowa burudani, wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, zilizofanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
KAIMU Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Ali Salum akiwasilisha Salamu za Wafanyakazi wa Zanzibar wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, zilizofanyika katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Sherehe za Maadhimishi ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, zilizofanyika katika viwanja Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
WAFANYAKAZI wa Taasisi na Wizara mbalimbali wakishangili  wakati mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi zilizoadhimishwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023
WAFANYAKAZI wa Taasisi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, katika viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 1-5-2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Zawadi ya Mfanyakazi Bora Ndg. Mkubwa Yahya Mohamed    Ofisi ya Rais Ikulu Chama cha  ZUPHE katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi  Mei Mosi 2023,   sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Zawadi ya Mfanyakazi Bora Ndg. Taifa Said Ahmed Mwalimu Mkuu ya Msingi ya Skuli ya Turky Mpendae kwa Bint Hamrani Wilaya ya Mjiji Unguja watika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani  Mei Mosi 2023,   zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.