Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu kutoka jimbo la Kilombero kwemye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. Kulia kwake ni Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. Kushoto ni Mbunge wa Nsimbo, Anna Lupembe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata (kushoto)  na mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),  Alphayo Kidata (kushoto) na Mkurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Muyanja kwenye viwanja wa vya Bunge jijini Dodoma,  Juni 7, 2023.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.