Habari za Punde

Matukio ya Picha ya Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mjini Magharibi, Mwanakhamis Kassim, Bungeni jijini Dodoma, Juni 8, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.