Makamu Mwewnyekiti wa ACT ambaye pia ni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akiifariji
familia ya bwana Mohammed Ali wa Donge Muwanda Kaskazini A aliyefiwa na watoto
watatu hivi karibuni baada ya kuzama kwenye mashimo ya maji huko kijiji Donge
. Mhe. alifika kijiji hapo leo Julai
16.2023. Kulia kwa makamu ni Mkuu wa Wilaya hiyo Sadifa Juma Khamis (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais).
MAKAMU mwenyekiti wa ACT Zanzibar Mhe.
Othman Masoud Othman akizungunza katika mkutano wa hadhara wa chama hicho
uliofanyika huko viwanja vya Skuli ya Mkwajuni Kaskazini A UNGUJA leo tarehe
16.07.23 (picha na Ofisi ya Makamu wa
kwanza wa Rais
Wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho alipokuwa akihutubia Mkutano wa hadhara huko katika viwanja vya Skuli ya Mkwajuni Kaskazini A Unguja leo tarehe 16.07.2023. Picha na Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais.
No comments:
Post a Comment