Makamu
wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa pamoja na viongozi wengine kutoka
nchi mbalimbali wakielekea kwenye hafla ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya
viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali
Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi pamoja na Rais wa São
Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova kabla ya hafla ya Chakula cha jioni
alichowaandalia viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu
Rasilimali Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Madagascar Mhe. Andry Nirina Rajoelina kabla ya kuelekea kwenye hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia viongozi wanaoshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe tarehe 25 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza jambo na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Wonie Bio wakati wa
hafla ya chakula cha jioni Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
25 Julai, 2023.
No comments:
Post a Comment