Habari za Punde

Yaliyojiri Ziara ya Kikazi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Nchini China Wiki Iliyopita

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini China Mhe. Mbelwa Kairuki alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baiyun Guangzhou China kwa ajili ya ziara yake yake ya Kikazi Nchini China (kushoto kwa Balozi) Naibu Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Mambo ya Nje Guangdong.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baiyun Guangzhou Nchini China akielekea katika chumba cha mapumziko VIP  kwa wageni mashaghuri katika uwanja huo (kulia kwa Rais) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini China Mhe. Mbelwa Kairuki na (kushoto kwa Rais) Naibu Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Mambo ya Nje Guangdong Mr. Luo.Jun
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Mambo ya Nje wa Guangdong China Bw.Luo Jun(kushoto kwa Rais) wakati alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Baiyun Guangzhou China, kwa ajili ya ziara yake ya Kikazi Nchini China.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Silent Ocean China Ndg. Ebrahim Rashid na Salah Said Omar alipowasili katika viwanja vya Kampuni ya Usafirishaji ya Silent Ocean China, kwa ajili ya Ufunguzi wa Ofisi za Kampuni hiyo zilizopo eneo la Foshan Guangzhou China, uzinduzi huo uliyofanyika leo 28-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisaini bango la Kampuni ya Usafirishaji  Mizigo ya Silent Ocean China, kabla ya kuzifungua Ofisi hizo zilizopo katika eneo la Foshan Guangzhou China, akiwa katika ziara yake Nchini China leo 28-6-2023
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akisaini bango la Kampuni ya Usafirishaji  Mizigo ya Silent Ocean China, kabla ya kuzifungua Ofisi hizo zilizopo katika eneo la Foshan Guangzhou China, akiwa katika ziara yake Nchini China leo 28-6-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na wa Kampuni ya Silent Ocean China, wakatin ukupigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na China katika hafla ya ufunguzi wa Ofisi za Kampuni ya kusafirisha mizigo, uzinduzi huo uliofanyika katika eneo Foshan Guangzhou China, wakati  akiendelea na ziara yake Nchini China leo 28-6-2023

MKURUGENZI Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Silent Ocean Salaha Said Mohammed  akizungumza na kutowa maelezo ya kampuni yake ya usafirishaji wa mizigo kutoka Nchini China, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ofisi za Kampuni hiyo Nchini China hiyo iliyofanyika katika eneo la Foshan Guangzhou China leo 28-6-2023

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ya Silent Ocean China, hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la mtaa wa Foshan Guangzhou China uliyofanyika leo 28-6-2023.
MAWAZIRI wa SMZ na SMT wa Biashara  wa kwanza Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe. Ashatu Kijaji,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Ofisi za Kampuni ya Usafirishaji  mizigo ya Silent Ocean China, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 28-6-2023.
BAADHI ya Wageni waalikwa na Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa ofisi za Kampuni ya Silent Ocean China, uzinduzi huo uliofanyika katika eneo la Foshan Guangzhou China, wakati akiendelea na ziara yake leo 28-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuifungua Ofisi ya Usafirishaji wa Mizigo ya Silent Ocean China  iliyoko katika eneo Foshan Guangzhou China na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni hiyo Ndg.Salaha  Said Mohammed, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 28-6-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikata utepe kuashiria kufungua Ofisi za Kampuni ya Usafirishaji wa Mizigo kutoka Nchini China ya Silent Ocean, hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la mtaa wa Foshan Guangzhou China leo 28-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Ofisi za Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka Nchini China ya Silent Ocean China, baada ya kuifungua Ofisi hiyo leo 28-6-2023, akiendelea na ziara yake Nchini China na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe.Ashatu Kijaji, wakipata maelezo ya ofisi hiyo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Silent Ocean China Ndg. Ebrahim Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza CEO wa Kampuni ya Selint Ocean China Ndg.Ebrahim Rashid, akizungumza wakati wa kutembelea Ofisi hizo baada ya kuzifungua leo 28-6-2023, na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Silent Ocean Ndg. Salaha Said Mohammed Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe. Ashatu Kijaji na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akiwa Nchini China akiendelea na ziara yake Nchini humo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Ofisi za Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka Nchini China ya Silent Ocean China, baada ya kuifungua Ofisi hiyo leo 28-6-2023, akiendelea na ziara yake Nchini China na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe.Ashatu Kijaji, wakipata maelezo ya ofisi hiyo kutoka kwa CEO wa Silent Ocean China Ndg. Ebrahim Rashid.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Complex Building Hunan China, wakati akiendelea  na ziara yake Nchini huo leo 28/6/2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Han Zheng, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Complex Building Hunan China leo 28-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wake na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Han Zheng, uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Complex Building Hunan China leo 28-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mazungumzo yake na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China.Mhe. Han Zheng, uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la Complex Building Hunan China na (kushoto kwa Rais) Waziri Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe.Ashatu Kijaji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Mkutano wa Xiangjiang Jiji la Changsha Jimbo la Hunan China kuhudhuria ufunguzi  wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China Afrika uliofanyika katika ukumbi huo leo 29-6-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiani wa Biashara Kati China na Afrika, uliofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Han Zheng leo 29-6-2023, akiwa katika ziara yake Nchini China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika uliofanyika leo 29-6-2023 katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Viongozi wa Serikali (kulia kwake) Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe.Ashatu Kijaji, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika mkutano huo wa ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China leo 29-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe.Ashatu Kijaji na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, wakielekea katika maonesho ya Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika, baada ya ufunguzi wa maonesho hayo uliofanyika leo 29-6-2023 katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Banda la Maonesho la Tanzania, katika maonesho ya Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika, yaliyofunguliwa leo 29-6-2023 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng, katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya banda la Maonesho la Kampuni ya China, baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika, uliofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng leo 29-6-2023 katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Nchini China baada ya kumaliza kutembelea Maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Biashara Kati ya China na Afrika, uliofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng leo 29-6-2023 katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea maonesho ya Biashara ya Ushirikiano Kati ya China na Afrika. yaliyofanyika katika ukumbi wa mkutano Jengo la Xiangjiang Jimbo la Hunan China.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.