Habari za Punde

Maandalizi ya Mkutano wa SADC wa Wakuu wa Nchi za Serikali

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, (wa pili kulia) akishiriki kikao cha ujumbe wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola. Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano huo utakaofanyika leo Agosti 17, 2023
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Mhe Jamal Kassim Ali, akieleza jambo kwenye kikao cha ujumbe wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola. Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano huo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (hayupo pichani), kwenye kikao cha Mhe. Makamu wa Rais na ujumbe wake kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola. Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano huo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Mhe Jamal Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, wakifuatilia taarifa mbalimbali, kwenye kikao cha Mhe. Makamu wa Rais na ujumbe wake kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola. Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano huo

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiteta jambo na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje wa Wizara hiyo, Bw. James Msina (kulia) na Afisa Dawati wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka Wizara hiyo, Bw. Joseph Haule, pembezoni mwa Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, jijini Luanda, Angola.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Luanda, Angola

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.