Muonekano wa Jengo Jipya la Skuli ya Muembeladu baada ya kukamilika kwa ujenzi wake likiwa mbadala ya Skuli ya Tumekuja. kama linavyoonekana pichani
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akikagua Mradi wa Ujenzi wa Skuli mpya ya Muembeladu baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, kabla ya kukabidhiwa kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, ikiwa ni Mbadala ya Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Unguja, kiongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg. Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi wa Skuli hiyo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akipata maelezo ya Mradi wa Skuli ya Muembeladu Wilaya ya Mjini Unguja kutoka kwa wasimamizi wa ujenzi huo, wakati akitembelea Skuli hiyo ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake (kulia kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi kabla ya kukabidhiwa Wizara. Skuli hiyo imejengwa kama Mbadala wa Skuli ya Tumekuja.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo bwana. Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi wa Skuli mpya ya Muembeladu kabla ya kukabidhiwa Wizara. Skuli hiyo imejengwa kama Mbadala wa Skuli ya Tumekuja iliovunjwa. iliyoko Mjini Magharib Unguja.
No comments:
Post a Comment