Habari za Punde

Rais Mhe. Samia amkabidhi Cheti Msanii na Muandaaji wa Filamu maarufu nchini China Jin Dong kama Balozi wa Utalii nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Muigizaji maarufu wa Filamu nchini China, Jin Dong cheti cha Ubalozi wa Heshima wa Kutangaza Utalii wa Tanzania nchini China wakati alipotembelea Jiji la Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.