Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana kufanya mazungumzo na Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ikulu] 21 /08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch (kushoto) alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 21 /08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika picha na mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch, baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 21 /08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisalimiana na  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch, alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 21 /08/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.