Wadau
wa Demokrasia, Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Viongozi wa Vyama vya
Siasa, pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya Mkutano Maalum wa Baraza hilo na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa
Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini tarehe 11 Septemba, 2023.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na
viongozi wengine kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa
Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya
Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
Mabalozi
kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya
Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi
Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment