Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akiongoza ujumbe wa Tanzania huko nchini Saudi Arabia katika Mkutano wa 45 wa Kamati ya Urithi wa Dunia.
Mkutano huo umeanza jana tarehe 10/09/2023 na unatarajiwa kuendelea hadi tarehe 25/09/2023
No comments:
Post a Comment