Afisa utumishi rasilimali watu wa Baraza la Vijana Zanzibar Rahma Suleiman Jumanne akiwasilisha mada "malengo ya Baraza la Vijana Zanzibar" katika kikao cha kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya zote za Unguja kilichofanyika huko Ofisi za Baraza Mwanakwerekwe Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji za Baraza la Vijana Zanzibar za Wilaya zote za Unguja wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika huko Ofisi za Baraza la Vijana Mwanakwerekwe Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi "B" Amina Mohammed Waziri akisoma ripoti ya miezi mitatu katika kikao cha Kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya zote za Unguja kilichofanyika huko Ofisi za Baraza Mwanakwerekwe Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar Salum Issa Ameir akisikiliza changamoto za Vijana katika kikao cha kamati tendaji za Baraza la Vijana za Wilaya zote za Unguja kilichofanyika huko Ofisi za Baraza Mwanakwerekwe Zanzibar.
Picha na Bahati Habibu BVZ
No comments:
Post a Comment