Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024.Kati ya Mlandege na Kundemba Timu ya Mlandege Imeshinda Mchezo huo kwa Bao.1-0

Beki wa Timu ya Kundemba Ali Makame akijaribu kumzuiya mchezaji wa Timu ya Mlandege Oscar Evelisto akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao.1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlendege Mustafa Muhsin akipiga mpira golini kwa Timu ya Kundemba huku mabeki wa Kundemba wakijiandaa kuokoa wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar, "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege (kushoto) Bizimana Velenti akijiandaa kumiliki mpira huku beki wa Timu ya Kundemba Haruna Rashid akijiandaa kumzuiya, katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo ulioyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao. 1-0.  
Mashabiki wa Timu ya Mlandege wakishangilia Timu yao katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024"  mchezo ulioyofanyika Uwanja wac Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa  bao.1-0. 
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Oscar Evelisto akimiliki mpira huku benki wa Timu ya Kundemba Ali Makame akijiandaa kumzuiya, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo ulioyofanyika Uwanja wa Mao timu ya Mlandege imeshinda kwa bao 1-0.
Beki wa Timu ya Kundemba Haruna Rashid akiondoa mpira golini kwao huku mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Jaffar Maneno akijiandaa, mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024 " uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Bizimana Valentin akimpita beki wa Timu ya Kundemba Ali Makame, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar"PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakishangilia bao leo lililofungwa na mchezaji Mustafa Muhsin katika dakika ya 20 ya mchezo huo kipindi cha kwanza, katika mchezo huo Timu ya Mlandege imeshinda kwa bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Oscar Evelisto akimiliki mpira huku beki wa Timu ya Kundemba Steve Mauya akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier league 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.


Mchezaji wa Timu ya Mlandege na Kundema wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zeding Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Mchezaji wa Timu ya Kundemba  akimpita beki wa Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2-23/2024" mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Maon Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Wapenzi na Mashabiki wa mchezo wa Soko Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier league 2023/2024, kati ya Mlandege na Kundemba mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa boa 1-0.  
Beki wa Timu ya Mandege akiokoa mpira golini kwao 
Mashabiki wa Timu ya Mlandege wakishangilia Timu yao katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024"  mchezo ulioyofanyika Uwanja wac Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa  bao.1-0. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.