Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afanya ziara ya kutoa pole kwa wananchi walioathirika na mvua

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hamza Hassan Juma (kulia) alipokuwa akitoa taarifa na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipofika kutoa pole kwa  wananchi  walioathirika na Mvua za Elninyo zinazoendelea,katika Mtaa wa Bububu Kisimajongoo Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi leo (wa pili kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Mhe.Suzan Petter Kunambi. [Picha na Ikulu] 14/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akizungumza na Wananchi wa  Bububu Kisimajongoo Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo alipofika  kutoa pole kwa  kuathirika na Mvua za Elninyo zinazoendelea, ambapo alifanya ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali katika Mkoa huo (kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa. [Picha na Ikulu] 14/11/2023.
Wananchi wa Bububu Kisimajongoo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Wananchi hao wa Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo alipofika  kutoa pole kwa maafa ya  kuathirika na Mvua za Elninyo zinazoendelea, ambapo alifanya ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali katika Mkoa huo. [Picha na Ikulu] 14/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Abdulhafar Idrissa Juma (katikati) alipokuwa akitoa taarifa wakati Rais,alipofika kuwapa pole Wananchi wa Shehia ya Mwanyanya walioathirika na mvua kunbwa zinazoendelea katika kipindi hichi ambapo leo ametembelea maeneo mbali mbali katika Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Mhe.Suzan Petter Kunambi na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa. [Picha na Ikulu] 14/11/2023
Mwakilishi  wa Jimbo la Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hussein  Ibrahim Makungu (Bhaa) (katikati) alipokuwa akizungumza na machache na kumshuruku  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipofika katika  Shehia ya Mwanyanya  kuwapa pole Wananchi walioathirika na mvua kunbwa zinazoendelea katika kipindi hichi ambapo leo ametembelea maeneo mbali mbali katika Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed Dimwa (kushoto)  Waziri wa Nchi Ofisi ya Mamako wa Pili wa Rais Mhe.Hamza Hassan Juma, Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Mhe.Suzan Petter Kunambi na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa. [Picha na Ikulu] 14/11/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa    Shehia ya Mwanyanya  Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo alipofika  kutoa pole kwa  kuathirika na Mvua za Elninyo zinazoendelea, ambapo alifanya ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali katika Mkoa huo. [Picha na Ikulu] 14/11/2023.

Wananchi Sheikh Haji Juma haji alipokuwa akiomba dua baada ya mazungumzo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wananchi wa  Shehia ya Mwanyanya  Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo alipofika  kutoa pole kwa  kuathirika na Mvua za Elninyo zinazoendelea.[Picha na Ikulu] 14/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa maelekezo kwa  Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Abdulhafar Idrissa Juma (wa pili kushoto) mara baada ya mazungumzo nakuwapa pole Wananchi wa  Shehia ya Mwanyanya  Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo walioathirika na Mvua za Elninyo zinazoendelea, ambapo alifanya ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali katika Mkoa huo(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia)  Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Mhe.Suzan Petter Kunambi . [Picha na Ikulu] 14/11/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.