Habari za Punde

Mchezaji wa Timu ya APR.FC Niyibizi Aibuka Mchezaji Bora Mchezo wa Kimbe la Mapinduzi Cup Dhidi ya Timu ya JKU

Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania (NIC ) Kanda ya Zanzibar Ndg. Khamis Msami akimkabidhi zawadi ya fedha tasilim mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup kutoka Timu ya APR.FC Niyibizi Ramadhan kwa kuchaguliwa na jopo la Makocha katika Mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi Cup dhidi ya Timu ya JKU mchezo uliofanyikav Uwanja Amaan Complex  Zanzibar leo 2-1-2024.Timu ya APR .FC. imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.