Mshambuliaji wa Timu ya APR .FC akimpita beki wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya APR.FC imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
Wachezaji wa Timu ya APR.FC wakishangilia bao lao la tatu katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu ya APR.FC imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
No comments:
Post a Comment