Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mapngo Akiongoza Watanzania Kutoa Heshima za Mwisho kwa Hayati Edward Lowassa Katika Viwanja vya Karemjee Jijini Dar es Salaam leo 13-2-2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam ambapo anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho  kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari 2024.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.