Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Asaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Namibia Dkt. Hage G. Geingo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob. Rais Samia alisaini Kitabu hicho  katika Ofisi za  Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Namibia mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.