Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Atoa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Masauni Yussuf Masauni, Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Masauni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpa mkono wa pole Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masaudi Yussuf, kwa kufiwa na Baba yake Mzazi Mzee Masuani Yussuf Masauni, alipofika nyumbani kwa Marehemu Migombani Wilaya ya Mjini Unguja kutowa mkono wa pole kwa familia leo 24-2-2024
RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Masauni Yussuf Masauni Baba Mzazi wa Waziri wa Mbambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Masauni Yussuf, alipofika nyumbani kwa marehemu Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 24-2-2024

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.