RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni,
Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan
Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul
Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman
Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar
Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni,
Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan
Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul
Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis
Ramadhan Abdallah
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuika na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
na Wanavyuoni, Masheikh na Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika
Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa
Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi kwa ushirikiano katika msiba wa Baba yake
Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan
Mwinyi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, katika Msikiti Ngamia
Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na
Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali
Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika
katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A”Unguja , ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na
Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali
Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti
Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis
Ramadhan Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na
Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul
Qadiriya Tanzania Sheikh Said Othman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha maalum ikimuonesha Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi alipofika hospitali kumuangalia Hayati Sheikh
Muhammad Nassor Abdallah alipokua amelezwa Hospitali akipata matibabu, baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua cha kumuombea Rais
Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika
Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa
Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman, baada ya kumalizika
kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika
katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024
No comments:
Post a Comment