RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Marekani ukiongozwa na Mhe. Katherine Clark
(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 16-7-2024

akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Katherine Clark, akiongoza Ujumbe wa
Wabunge wa Marekani , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 16-7-2024.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Marekani ukiongozwa na Mhe. Katherine Clark
(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 16-7-2024
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na mgeni wake Kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge wa Marekani Mhe.Katherine
Clark, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 16-7-2024

No comments:
Post a Comment