18/09/2024
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia
Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na
makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa
mitandaoni kuwa ametekwa.
Imetolewa na:
David A. Misime
- DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya
Polisi
Dodoma,Tanzania
No comments:
Post a Comment