RAIS wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata
maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas
wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya
Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya
maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya
Ozti Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Fatma Jaffar Khamis, wakati wa hafla
ya ufunguzi wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika
viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya mlima wa
Kilimanjaro kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mkuu wa Kitengo cha
Maendeleo ya Biashara Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA). Jully Bede Lyimo,
wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024,
linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja
No comments:
Post a Comment