RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasaili katika Kijiji cha Jozani kwa
ajili ya ufunguzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya
kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi
wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakimsikiliza Waziri wa
Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed akitowa
maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Barabara
hizo za Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki
ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi
wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi
Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka
Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu
Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo
24-10-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka
Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Barabara ya
Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Unguja, uzinduzi huo
uliyofanyika leo 24-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na
(kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar
Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamnmed na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.
Mohammed Said Dimwa, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa
Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi
cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane

No comments:
Post a Comment