Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka
kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Ahn Enju kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Ahn Enju mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa
Ufaransa hapa nchini Mhe. Anne-Sophie Avé kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na
Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Anne-Sophie Avé mara baada ya
kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka
kwa Balozi Mteule wa Barbados hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini
Kenya Mhe. William Alexander McDonald kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka
kwa Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Nicole Providoli kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Nicole Providoli, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ethiopia
hapa nchini Mhe. Fekadu Beyene Ayana, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26
Novemba, 2024.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment