Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMb, Bi. Ruth Zaipuna, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi.Ruth  Zaipuna  (kula kwake) na Ujumbe wake, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodom.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna baada ya mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya NMB baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 21, 2025. Watatu kushoto ni Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa Benki ya NMB baada ya mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 21, 2025. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.