Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Mgeni Rasmin Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jarida la Mizani ya Haki za Mahkama, wakati wa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Utendaji Kazi wa Mahkama Zanzibar kwa Mwaka 2024,baada ya kuizindua leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, watika wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Muongozo wa Urejeshaji Mali kwa Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, baada ya kukizindua leo 10-2-2025, katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025.

MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzbar leo 10-2-2025

BAADHI ya Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar,Wageni waalikwa  na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahimu Hamis Juma, baada ya kumalizika kwa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.