Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Viongozi Siasa, Serikali, Dini na Makundi Maalum Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.  









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.