RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa Futari Mwananchi
wa Kijiji cha Kitope Mkoa wa Kaskazini Unguja, Khamis Hassan Makame, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Mkokotoni
jana 14-3-2025, na kujumuika na Wananchi wa Mkoa huo katika futari maalumu aliyowaandalia
katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa Futari Mwananchi
wa Kijiji cha Chutama, Muhammed Haji Ngwali,hafla hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Mkokotoni jana 14-3-2025, na
kujumuika na Wananchi wa Mkoa huo katika futari maalumu aliyowaandalia katika
ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari
aliyowaandalia Mwananchi wa Mkoa wa huo iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha
Amali Mkokotoni jana 14-3-2025

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari maalumu aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha
Amali Mkokotoni jana 14-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe.Mattar Zahor
Masoud, zilizotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari maalumu aliyowandalia Wananchi wa Mkoa huo
iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja jana 14-3-2025.
No comments:
Post a Comment