RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini
ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025 na (kushoto)
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban,
uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025.
Wafanyakazi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii na Nidhamu
-
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali
Shariff ametoa wito kwa wananchi na wafanyakazi wote kushiriki kikamilifu
katik...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment